Weusi – Air Weusi Album Lyrics
Summertime Lyrics by Weusi ft JoJo
[Chorus]
Summer time nikuone
Summer time girl we own it (eeh),
I say me want no drama Mtoto mzuri ile una (…)
Nitakulea kama your
Papa Chini kwa china mama go gaga
Summer time nikuone
Summer time girl we own it
Vile unawekaga viti you killing it (killing it)
Unanipaga vitu you killing me (killing me)
Mbona tuko mavitani shigidi (shigidi)
Wicked, wicked, wicked
Shigidi (shigidi)
Wananuna nuna ni wanga
Twende maghetoni (…)
Madeko ka mtoto mchanga
Kitumbua hakina mchanga (…),
Unavyo kizungusha unanichanganya boo
Si you know lakini boo, kama huu ni moto wacha
Uniunguze tuu Mzee ninapo itwanga, mama (…)
Stoki mtu, vilingi vya sumbu mi stoki tu
Mzuka ukinipanda, kwenye parking tu
Na come through, mamaa come through (fire)
[Chorus] (French verse)
Haha, tulivyo timba ndani ya dimba
Nilivyo vimba, nipo na swala dume la simba
Sishiki simu si pelelezi (wazi), (..) mwizi sijielezi (wazi)
Mambo kichagaa, kinyamwezi (wazi), bonge la
nyota nipo na mwezi (wazi) Vile najua kupenda
noma, summer time hii hapa eeh noma
Tujiachie Samantha (noma), nataka ni kuone (yeah) noma
Vile tunakalisha wamekubali kaa, Vida na Vida
loca tuwaache mataa
Vile unazipangia nakubali umeng’aa, make up
nimeikubali sasa twende mamaa
[Chorus]
Summer time nikuone
Summer time girl we own it (eeh),
I say me want no drama Mtoto mzuri ile una (…)
Nitakulea kama your
Papa Chini kwa china mama go gaga
[Outro]
My sherii, my sherii oo
My sherii, my sherii oo
My sherii, my sherii oo
Written by; Weusi
Released date; 12 March, 2021
AlbumEP; Air Weusi
https:www.youtube.comwatch?v=A8YUuFmkAMs