Lyrics

Mbosso – Nipo Nae Lyrics

Mbosso Definition of Love Album Lyrics

Mbosso – Definition of Love Album Lyrics

Nipo Nae Lyrics by Mbosso

Ayooo Laizer

[Verse 1]
Masikini Anafuba Anafubaa
Anazeeka Yule Mwenzangu
Aamin..
Anavyochunda Anavyochundaa
Nimeondoka Nna Nyota Yanguu (Mmh..)
Nafsi Ilichoka Madhila (Ohoo Madhila)
Ya Punda Asie Na Fadhila (Ohooo Fadhila)
Nimempata Wa Njema Dhamiraa (Ohoo Dhamila)
Wakufunga Magoli Siwabila (Ohoo Wa Bila)

[Bridge]
Mmhh Shata Shata (Shataa..)
Penzi Limetaradadiii Sina Shaka (Shakaa..)
Inyeshe Na Ipige Radii
Rasha Rashaa (Rashaa..)
Kwetu Mambo Maji Majii
Baby Washa Washaa (Washaa..!)
Waambie Wanaosubiria

[Chorus]
Bado Nipo Nipooo Naee (Bado Tupo Sana Tu)
Bado Nipo Nipooo Nae (Ndo Kwanza
Tunayaanza)
Bado Nipo Nipooo Nae (Wenyewe
Tumeshazoena)
Bado Nipo Nipooo Nae (Me Bado Nipo Na Yeye)

[Verse 2]
Raaha Rahaa Mustarehee
Sijaomba Napewa
Nifikishwe Nitosheke
Raaha Kila Siku Sherehee Jamani Na Nyenyekewa
Eti Nile Nikogeshwe
Penzi Birika Yake Sifa Nikimiminio
Ahh! Nimeshikwa Kwenye Kichwa Mpaka Masikio
Mambo Tartita Uulichosusa Akula Mwenzio
Mwana Anasifa Ananipa Paja Kwa Kipapatio
Amekupenda Mama Tulia (Tuliaa)
Tule Zetu Ujana Dunia (Duniaa)
Mambo Ya Wanadama Puuziaa (Puuziaa)
Wapasuke Bandama Sindano Ishawaingiaa

[Bridge]
Mmhh Shata Shata (Shataa..)
Penzi Limetaradadiii Sina Shaka (Shakaa..)
Inyeshe Na Ipige Radii
Rasha Rashaa (Rashaa..)
Kwetu Mambo Maji Majii
Baby Washa Washaa (Washaa..!)
Waambie Wanaosubiria

[Chorus]
Bado Nipo Nipooo Naee (Bado Tupo Sana Tu)
Bado Nipo Nipooo Nae (Ndo Kwanza
Tunayaanza)
Bado Nipo Nipooo Nae (Wenyewe
Tumeshazoena)
Bado Nipo Nipooo Nae (Me Bado Nipo Na Yeye)
Wasafiiii….

Written by; Mbosso
Released date; 9 March, 2021
Album/EP; Definition of Love 

Mbosso Nipo Nae Lyrics

Leave a Comment