Masauti – Liar Lyrics ft. Tanasha Donna

Masauti 001 EP Lyrics Masauti – Deka Lyrics

Masauti Liar Lyrics

Masauti Kenyan Boy 001
Mmmmh Tasha
(Shirko Media)

Sio siri nimeshoboka
Nataka nibaki nawe
Nahisi nimetamani
Nimekupe vya kukupagawisha

Na nishakuona
Unavyoninyemelea
I’m not your ordinary girl
Chungaa yeah yeah

Zangu hisia umezikoroga
Na macho hayanaga pazia
Tanasha umeniroga
Wee dada

Masauti don’t rush
You can look baby
But you don’t touch
Na sikupii aah aah
Yaani mpaka nikuelewe

Sio kama nakunyemelea
Ni kamoyo kangu kamelegea eh (Acha wee)
Mapenzi mazoea
Ukininyima upendo, nitachanganyikiwa

You’re a liar
Oh no no no mi nakupenda kikweli
You’re a liar
Oh no no no mi sio wale matapeli

You’re a liar
Oh no no no ukiniacha nitafeli
You’re a liar
Oh no no no no, oh no

If you’re serious
Prove it to me I’m curious
I wanna know sitaki michezo na we
Kuchezea moyo

Moyo wangu ukipenda unapenda kweli
Nilosema namaanisha
Na siwachi useme ya kukudhuru
Moyo wako ndo unanitisha

Siwezi kukutenda wala kukukejeli
Ujanja wote kwangu umeniisha
I know you’ve been trying
But boy don’t you lie to me

Me sitokudanganya

Masauti don’t rush
You can look baby
But you don’t touch
Na sikupii aah aah
Yaani mpaka nikuelewe

Sio kama nakunyemelea
Ni kamoyo kangu kamelegea eh
Mapenzi mazoea, usininyime upendo
Niamini

I’m not a liar
Oh no no no je’me sipasi fasihi
I’m not a liar
Oh no no no mapenzi nimechill

I’m not a liar
Oh no no no I’m good I can pay my own bills
I’m not a liar
Oh no no no no, no no no

You’re a liar liar liar liar
Oh no I’m not
I’m not a liar liar liar liar

You’re a liar liar liar liar
Oh no I’m not
I’m not a liar liar liar liar

Written by; Masauti
Released date; 18 November, 2020

https:youtu.becyay0488IjY

Liar Lyrics Masauti

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: