Marioo – Naogopa Lyrics

Marioo Naogopa Lyrics (feat. Harmonize)

Yaw yaw
Yeyh yeh mmmh mmmh
(sound by abbah)

Kwetu si tunasherehe maapenzi
Sio makasirikoo
(aaaah)
Kwetu ni furaha tele maana maapenzi
Sio makasirikoo
Mmmmmh

Hata kama tukishindia tembele ooh my love
Hata kama baba mwenye nyuma akitupigia kelele
Oooh my love
Hata kama tunapanda daladala mi nawew my love
Et chetu chumba kina mavyombo telee inahusu
Wala cdhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishijee
Eeeeeeh

Mwenzako najua kama unanipenda
Umeniweka moyoni ila nawaza
Usipokuwepo ntaishije ndio naogopaa aaah

Aaaaaaaah naogopaaaa
Aaaaaaaah naogopaaaa
Aaaaaaaah naogopaaaa
Aaaaaaaah naogopaaaa
Aaaaaaaah naogopaaaa
Aaaaaaaah naogopaaaa

Yaw yaw
Koh koh koh

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: