Baba Levo ft. Diamond Platnumz – Shusha Lyrics

Baba Levo Diamond Platnumz Shusha Lyrics Baba Levo ft. Diamond Platnumz – Shusha Lyrics

Shusha Lyrics by Baba Levo ft Diamond Platnumz

Ni salama angamizo
Pisha maana matatizo
(It’s S2kizzy beiby)

Nawashusha, shusha shusha
Nawashusha, shusha
Nawashusha, shusha shusha
Nawashusha, shusha

Wapo top 10, shusha shusha
Wapo on trend, shusha
Wapo top 10, shusha shusha
Wapo on trend, shusha

Nawashusha, shusha shusha
Nawashusha, shusha
Ona nawashusha, shusha shusha
Nawashusha, shusha

Wanataka shindana na Simba (Shusha shusha)
Washindane na Dangote (Shusha)
Wakati bado makinda (Shusha shusha)
Mi maji wao tope (Shusha)

Wanataka shindana na Simba (Shusha shusha)
Washindane na Dangote (Shusha)
Wakati bado makinda (Shusha shusha)
Mi maji wao tope (Shusha)

Written by; Baba Levo, Diamond Platnumz
Released date; 15 December, 2020

https:www.youtube.comwatch?v=SEnvbR_LAR4

Baba Levo Shusha Lyrics

    Lyrics Details:

  • Written by:
  • Album:
  • Released: